Ufafanuzi wa mbweha katika Kiswahili

mbweha, bweha

nomino

  • 1

    mnyama anayefanana na mbwamwitu lakini mdogo kidogo, mwenye masikio marefu yaliyosimama, mdomo mrefu mwembamba na mkia mnene na mzito.

Matamshi

mbweha

/mbwɛha/