Ufafanuzi wa mbwende katika Kiswahili

mbwende, mbwanda

nomino

  • 1

    nafaka jamii ya maharage au fiwi.

  • 2

    chakula chochote ambacho hakikupikwa vizuri.

Matamshi

mbwende

/mbwɛndɛ/