Ufafanuzi wa mchago katika Kiswahili

mchago

nominoPlural michago

  • 1

    sehemu ya kitanda kinapowekwa kichwa.

    uchago

Matamshi

mchago

/mt∫agɔ/