Ufafanuzi wa mchapaji katika Kiswahili

mchapaji

nominoPlural wachapaji

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kutoa maandishi kwa kutumia mashine.

  • 2

    kampuni au shirika linalochapa maandishi kwa kutumia mashine maalumu.

Matamshi

mchapaji

/mt∫apaʄi/