Ufafanuzi wa mchekeshaji katika Kiswahili

mchekeshaji

nominoPlural wachekeshaji

  • 1

    mtu afanyaye watu kucheka au kufurahi kwa maneno au vitendo vyake.

    msondani

Matamshi

mchekeshaji

/mt∫ɛkɛ∫aji/