Ufafanuzi wa mchimba katika Kiswahili

mchimba, mchimbaji

nomino

  • 1

    mwenye kuchimba shimo ardhini.

    ‘Mchimba migodi’
    ‘Mchimba kaburi’

Matamshi

mchimba

/mtāˆ«imba/