Ufafanuzi wa mchipuko katika Kiswahili

mchipuko

nominoPlural michipuko

  • 1

    uainishaji wa fani za taaluma.

  • 2

    uachaji kufuata njia iliyozoeleka na kufuata njia mpya.

  • 3

    uotaji wa tawi au jani.

Matamshi

mchipuko

/mt∫ipukɔ/