Ufafanuzi wa mchokochore katika Kiswahili

mchokochore

nomino

  • 1

    mti wenye mbegu za duara zinazonata ambao maua yake yakianguka husemwa kuwa mvua zimekwisha.

Matamshi

mchokochore

/mt∫ɔkɔt∫ɔrɛ/