Ufafanuzi wa mchomo katika Kiswahili

mchomo

nominoPlural michomo

  • 1

    maumivu ya kuchomachoma mwilini.

  • 2

    hali au tendo la moto kuchoma kitu.

  • 3

    mwendo wa kasi wa kitu kuelekea mahali fulani.

Matamshi

mchomo

/mt∫ɔmɔ/