Ufafanuzi wa mchujo katika Kiswahili

mchujo

nominoPlural michujo

  • 1

    tendo la kutenga maji au kitu cha majimaji na kitu ambacho si cha majimaji.

  • 2

    tendo la kutenga ili kuchagua aliye bora miongoni mwa washindani au watahiniwa.

    mtoano

Matamshi

mchujo

/mt∫uʄɔ/