Ufafanuzi msingi wa mdaiwa katika Kiswahili

: mdaiwa1mdaiwa2

mdaiwa1

nominoPlural wadaiwa

  • 1

    mtu ambaye ana mali ya mtu au watu wengine na ambaye hajarejesha kwa mwenyewe.

    mwiwa, mdeni

Asili

Kar

Matamshi

mdaiwa

/mdajiwa/

Ufafanuzi msingi wa mdaiwa katika Kiswahili

: mdaiwa1mdaiwa2

mdaiwa2

nominoPlural wadaiwa

Asili

Kar

Matamshi

mdaiwa

/mdajiwa/