Ufafanuzi wa mdukizi katika Kiswahili

mdukizi

nominoPlural wadukizi

  • 1

    mtu anayesikiliza mambo ya watu kwa siri.

    mdoya, dukizi

Matamshi

mdukizi

/mdukizi/