Ufafanuzi wa meja katika Kiswahili

meja

nominoPlural mameja

  • 1

    ofisa wa kijeshi mwenye cheo kilicho chini ya luteni-kanali na juu ya kapteni.

Asili

Kng

Matamshi

meja

/mɛʄa/