Ufafanuzi wa meneja katika Kiswahili

meneja

nominoPlural mameneja

  • 1

    mtu aliyepewa madaraka ya kusimamia na kuongoza kikundi cha watu k.v. katika kampuni au shirika.

Asili

Kng

Matamshi

meneja

/mɛnɛʄa/