Ufafanuzi wa meng’enya katika Kiswahili

meng’enya

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu kiwe laini kwa kukiminya.

  • 2

    yeyusha

Matamshi

meng’enya

/mɛŋɛɲa/