Ufafanuzi msingi wa meza katika Kiswahili

: meza1meza2

meza1

nominoPlural meza

  • 1

    samani iliyotengenezwa kwa mbao, madini au kioo, chenye uvungu na ubapa juu unaotumiwa kufanyia shughuli k.v. kuandikia, mchezo, n.k..

Asili

Kre

Matamshi

meza

/mɛza/

Ufafanuzi msingi wa meza katika Kiswahili

: meza1meza2

meza2

kitenzi elekezi~ea, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    pitisha kitu k.v. chakula au dawa kooni mpaka tumboni.

Matamshi

meza

/mɛza/