Ufafanuzi wa mfamasia katika Kiswahili

mfamasia

nominoPlural wafamasia

  • 1

    mtaalamu wa kutengeneza au kuchanganya dawa na kuzitoa kwa wagonjwa katika hospitali, zahanati au famasi.

    ‘Madaktari na wafamasia wanafanya kazi kwa bidii’
    mkemia

Asili

Kng

Matamshi

mfamasia

/mfamasija/