Ufafanuzi wa mfereji katika Kiswahili

mfereji

nominoPlural mifereji

 • 1

  mchirizi mkubwa wa maji.

  ‘Tumechimba mfereji wa kunyweshea mimea yetu’
  fumbi, kuo, mtaro, handaki

 • 2

  kipande cha mwanzi, plastiki au chuma chenye uwazi ndani kinachotumika kupelekea maji k.v. majumbani.

  bomba

Asili

Kar

Matamshi

mfereji

/mfɛrɛʄi/