Ufafanuzi wa mfuko katika Kiswahili

mfuko

nominoPlural mifuko

  • 1

    kitu kinachotengenezwa kwa k.v. kitambaa, ngozi au karatasi kwa ajili ya kutilia vitu.

  • 2

    sehemu ya nguo k.v. suruali au shati inayoshonwa kwa ndani au kwa juu na ambayo hutiwa pesa au vitu.

Matamshi

mfuko

/mfukɔ/