Ufafanuzi wa mfumbi katika Kiswahili

mfumbi

nominoPlural mifumbi

  • 1

    mfereji wa kupitishia maji ya mvua.

    jimbu, mchirizi, dumbwi

Matamshi

mfumbi

/mfumbi/