Ufafanuzi wa mfuraha katika Kiswahili

mfuraha

nomino

  • 1

    chombo cha kutilia chokaa ya kutafunia tambuu.

    jaluba

Matamshi

mfuraha

/mfuraha/