Ufafanuzi msingi wa mfuto katika Kiswahili

: mfuto1mfuto2mfuto3

mfuto1

nominoPlural mifuto

 • 1

  kitu kilichotengenezwa bila ya pambo lolote k.v. nakshi.

  ‘Kofia ya mfuto’

Matamshi

mfuto

/mfutɔ/

Ufafanuzi msingi wa mfuto katika Kiswahili

: mfuto1mfuto2mfuto3

mfuto2

nominoPlural mifuto

 • 1

  ujazo sawa na kipimo.

Matamshi

mfuto

/mfutɔ/

Ufafanuzi msingi wa mfuto katika Kiswahili

: mfuto1mfuto2mfuto3

mfuto3

nominoPlural mifuto

 • 1

  kufungwa mara tano katika mchezo wa karata.

 • 2

  tendo la kuliwa pesa zote katika mchezo wa kamari.

Matamshi

mfuto

/mfutɔ/