Ufafanuzi wa mgema katika Kiswahili

mgema

nominoPlural wagema

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kukinga tembo katika mnazi.

    methali ‘Mgema akisifiwa, tembo hulitia maji’

Matamshi

mgema

/mgɛma/