Ufafanuzi wa mgeuzo katika Kiswahili

mgeuzo

nominoPlural migeuzo

  • 1

    hali ya kuchukua kitu na kukibadili sura, hali au muundo.

    ugeuzaji

Matamshi

mgeuzo

/mgɛwuzɔ/