Ufafanuzi wa mghafala katika Kiswahili

mghafala

nomino

  • 1

    hali ya kusahau jambo.

    usahaulifu

Matamshi

mghafala

/mÉšafala/