Ufafanuzi wa mgigisi katika Kiswahili

mgigisi

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kufanya fujo na vishindo.

Matamshi

mgigisi

/mgigisi/