Ufafanuzi msingi wa mgoli katika Kiswahili

: mgoli1mgoli2

mgoli1

nominoPlural wagoli

  • 1

    nyoka kama chatu anayekaa kwenye maji.

Matamshi

mgoli

/mgɔli/

Ufafanuzi msingi wa mgoli katika Kiswahili

: mgoli1mgoli2

mgoli2

nominoPlural wagoli

  • 1

    mke wa mtawala wa kienyeji.

Matamshi

mgoli

/mgɔli/