Ufafanuzi wa mgombea katika Kiswahili

mgombea, mgombezi, mgombeaji

nominoPlural wagombea

  • 1

    mtu anayewania nafasi ya uongozi kwa kushindana na wengine.

    ‘Mgombea kiti cha urais, mgombea kiti cha ubunge, mgombea kiti cha udiwani’

Matamshi

mgombea

/mgɔmbɛja/