Ufafanuzi wa mgonjwa katika Kiswahili

mgonjwa

nominoPlural wagonjwa

  • 1

    mtu aliye na maradhi au maumivu fulani katika mwili wake.

    muwele

Matamshi

mgonjwa

/mgɔnʄwa/