Ufafanuzi wa mgumio katika Kiswahili

mgumio

nominoPlural migumio

  • 1

    sauti ya kuguna atoayo mtu mwenye kufikwa na machungu na ikawa hana la kufanya; sauti ya ndani kwa ndani itolewayo na mwenye huzuni au simba.

Matamshi

mgumio

/mgumijɔ/