Ufafanuzi wa mguso katika Kiswahili
mguso
nominoPlural miguso
- 1
pahala maalumu katika mchezo wa watoto wa kufukuzana ambapo mtoto akipagusa au kupashika anakuwa amemshika au kumkamata anayefukuzwa.
- 2
namna ya kugusa kitu au mtu.
- 3
hali ya kuingiwa na jambo fulani.
‘Hotuba yake ilikuwa na mguso mkubwa kwa wote waliohudhuria’