Ufafanuzi wa mgwisho katika Kiswahili

mgwisho

nominoPlural migwisho

  • 1

    mkia wa mnyama k.v. ng’ombe, nyumbu au twiga uliokatwa na kukaushwa na ambao hutumika kuchezea ngoma au kushika mkononi.

    mwengo, usinga

Matamshi

mgwisho

/mgwi∫ɔ/