Ufafanuzi wa mhaini katika Kiswahili

mhaini

nomino

  • 1

    mtu anayefanya njama ya kupindua serikali ya nchi yake.

Asili

Kar

Matamshi

mhaini

/mhaIni/