Ufafanuzi wa mhamaji katika Kiswahili

mhamaji

nomino

  • 1

    mtu anayehama kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.

    mhajiri

Matamshi

mhamaji

/mhamaʄi/