Ufafanuzi wa mhasibu katika Kiswahili

mhasibu

nominoPlural wahasibu

  • 1

    mtu anayetunza hesabu na fedha za ofisi, shirika au kampuni.

    mtunzafedha

Asili

Kar

Matamshi

mhasibu

/mhasibu/