Ufafanuzi wa mhazili katika Kiswahili

mhazili

nominoPlural wahazili

  • 1

    mtu anayetunza barua na majalada ya ofisi na kuandika kwa tapureta au kompyuta.

    sekretari

Asili

Kar

Matamshi

mhazili

/mhazili/