Ufafanuzi wa mhenga katika Kiswahili

mhenga

nominoPlural wahenga

  • 1

    mtu wa kale.

  • 2

    mzee wa baraza mwenye maarifa, anayetegemewa katika mashauri; mtu anayejua mambo ya kale.

Matamshi

mhenga

/mhɛnga/