Ufafanuzi wa mhonyoaji katika Kiswahili

mhonyoaji

nominoPlural wahonyoaji

  • 1

    mtu anayependa kula au kufaidi vya bure.

Matamshi

mhonyoaji

/mhɔɲɔwaʄi/