Ufafanuzi wa mhujumu katika Kiswahili

mhujumu

nomino

  • 1

    mtu anayeharibu kitu, mali, n.k. isiyo yake kwa siri.

    ‘Mhujumu wa uchumi’
    ‘Mvurugaji’

  • 2

    mfujaji

Matamshi

mhujumu

/mhuʄumu/