Ufafanuzi wa miadi katika Kiswahili

miadi

nominoPlural miadi

  • 1

    ahadi ya kukutana katika muda maalumu uliokubaliwa.

    ‘Wamepeana miadi wakutane kesho asubuhi’
    ‘Miadi yetu haijatimia’
    kiaga

Asili

Kar

Matamshi

miadi

/mijadi/