Ufafanuzi wa mikwala katika Kiswahili

mikwala

nominoPlural mikwala

  • 1

    pingamizi katika utekelezaji wa jambo.

    ‘Anasumbuliwa na mikwala ya mwenye nyumba’
    kero

Matamshi

mikwala

/mikwala/