Ufafanuzi wa milele katika Kiswahili

milele

  • 1

    agh. hutumika kutilia mkazo.

Ufafanuzi wa milele katika Kiswahili

milele

kielezi

  • 1

    bila kuwa na mwisho.

    daima, abadi, dawamu, dahari