Ufafanuzi wa miminika katika Kiswahili

miminika

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    tiririka kwa kitu kiowevu kutoka sehemu moja hadi nyingine.

Matamshi

miminika

/miminika/