Ufafanuzi wa miondoko katika Kiswahili

miondoko

nominoPlural miondoko

  • 1

    utembeaji au staili ya mtu ya uchezaji muziki.

    ‘Miondoko ya wanamuziki vijana ni tofauti na ile ya wazee’

Matamshi

miondoko

/mijɔndɔkɔ/