Ufafanuzi wa miongoni katika Kiswahili

miongoni

kielezi

  • 1

    mmoja au baadhi katika hesabu ya wengi; kati ya.

Matamshi

miongoni

/mijɔngɔni/