Ufafanuzi msingi wa mitala katika Kiswahili

: mitala1mitala2

mitala1

nominoPlural mitala

  • 1

    wanawake wawili au zaidi walioolewa na mume mmoja.

    ‘Juma ana mitala siku hizi’

Matamshi

mitala

/mitala/

Ufafanuzi msingi wa mitala katika Kiswahili

: mitala1mitala2

mitala2

nominoPlural mitala

  • 1

    ndoa ya wake wengi.

Matamshi

mitala

/mitala/