Ufafanuzi wa mjadala katika Kiswahili

mjadala

nominoPlural mijadala

  • 1

    mazungumzo juu ya jambo maalumu yanayofanywa kwa kutolea hoja jambo hilo; mashindano ya maneno.

    mdahalo, mabishano, malumbano, chilumbo

Asili

Kar

Matamshi

mjadala

/mʄadala/