Ufafanuzi wa mjane katika Kiswahili

mjane

nominoPlural wajane

  • 1

    mtu asiyekuwa na mke au mume kwa kuachwa au kufiwa.

  • 2

    mseja

Matamshi

mjane

/mʄanɛ/