Ufafanuzi wa mjatete katika Kiswahili

mjatete

nomino

  • 1

    aina mojawapo ya mti jamii ya mgunga.

Matamshi

mjatete

/mʄatɛtɛ/