Ufafanuzi wa mjume katika Kiswahili

mjume

nominoPlural wajume

  • 1

    fundi wa kutia urembo au nakshi katika vyombo k.v. vya madini au mbao.

Matamshi

mjume

/mʄumɛ/